Mfumo wa Utafiti wa e-LAPS
Utafiti wa Procurement na Logistics kwa taasisi binafsi. Jisajili, wasilisha taarifa za utafiti wakati unafanya kazi uwanjani, pakia audio na ripoti, kisha fuatilia tathmini na malipo yako.
1. Fomu ya utafiti
Jaza fomu wakati wa mahojiano (real time).
2. Audio na ripoti
Pakia rekodi ya mahojiano na ripoti moja ya uchambuzi.
3. Tathmini
Bodi ya e-LAPS inakagua na kukujulisha kwa SMS na barua pepe.
4. Malipo
Ukikubaliwa, unalipwa kwenye akaunti uliyoweka.
